Skip to main content

Posts

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( NGO STUDIES THROUGH DISTANCE LEARNING PROGRAMME )

Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation    inapenda  kuwatangazia  vijana  wa  kitanzania  nafasi  za  mafunzo  na  kazi  kama  ifuatavyo : KOZI  ITAKAYO  FUNDISHWA :  NGO  MANAGEMENT & OPERATION. SIFA  ZA  MWOMBAJI  NAFASI : 1. Kijana  wa  kitanzania  mwenye  umri  wa  kati  ya  miaka  18 hadi 45. 2. Elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  sita  na  kuendelea. 3. Aliye   na  malengo  ya  kufanya  kazi  katika  taasisi  zisizokuwa  za  kiserikali  zilizopo  nchini  Tanzania. 4. Anayeweza  kusoma  na  kuelewa  kwa  njia  ya  masafa  marefu.  LENGO  LA  KOZI  HII : i.             ...

NAFASI NNE ZA KUJITOLEA WILAYA YA ILALA

   NAFASI  NNE  ZA  KUJITOLEA  WILAYA  YA  ILALA. TUNAWEZA  WOMEN  GROUP   ni  Asasi  Isiyokuwa  ya  Kiserikali  ( NGO )  inayo  jihusisha  na maendeleo  ya  wanawake  Tanzania. Taasisi  inatangaza  nafasi  za  kujitolea  kama  ifuatavyo : 1. Mtaalamu wa ujasiria mali...NAFASI  MOJA. 2.Mtaalamu wa kukuza pesa za mfuko wa taasisi.....NAFASI  MOJA. 3. Mwalimu wa michezo................NAFASI  MOJA.  4. Mtaalamu wa  masuala  ya  sheria  na  haki  za  binadamau............NAFASI  MOJA. Tuma  maombi  yako  kwenda  kwa  : MWENYEKITI  , TUNAWEZA  WOMEN  GROUP. S.L.P  DAR  ES  SALAAM. tUMA  MAOMBI  YAKO  KUPITIA  : womentunaweza@yahoo.com WASILIANA  NAO  KWA  SIMU  : 0784399400,07154858...

NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO YA SEKONDARI KWA YATIMA

RafikiElimu  FOUNDATION  ni  Taasisi  isiyokuwa  ya  kiserikali  inayo  jishughulisha  na  Maendeleo  ya  jamii. Taasisi  inapenda  kutangaza  nafasi  za  ufadhili  wa  masomo  ya  sekondari  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo  : 1. Awe    yatima  wa  jinsia  ya  kike  au  awe  masichana  anayeishi  katika  mazingira  magumu. 2.Awe  raia  wa  Tanzania. 3. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  kwanza  kuanzia  Januari  2013. AU 4. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  tano   katika  mwaka  wa  masomo 2013/14. 5. Awe   ni  mwanafunzi  ambaye  tayari  anasoma sekondari ...

NAFASI ZA UANDISHI WA VITABU VYA KITAALUMA..

RafikiElimu  FOUNDATION    ni  TAASISI   isiyokuwa  ya  kiserikali  (  NGO )  inayo  jihusisha  na  Maendeleo  Ya  Jamii .  Taasisi  kupitiaa   mpango  wake   "  DISTANCE   LEARNING  PROGRAMME"   "  Mpango  Wa  Elimu  Ya  Masafa  Marefu  "   inatangaza  nafasi  za   UTAYARISHAJI  & UANDISHI  WA  VITABU  VYA  KITAALUMA. SIFA  ZA  MWOMBAJI. Awe  na  elimu, ujuzi, sifa  na  uwezo  wa  kuandaa na  kutayarisha   muswaada  wa  uandikaji  wa  kitabu   cha  kitaaluma  katika  moja  wapo  kati  ya  masomo  yafuatayo : 1.  Law 2.  Mass  Com  &  Journalism. 3. Community   Development. 4. Business  ...

SOMO LA TISA : USINDIKAJI WA MAZAO YA NAFAKA

Mahindi  yaliyo  toka  kuvunwa. 1 .   USINDIKAJI  WA   ZAO  LA  MAHINDI : Ili kuongeza matumizi ya mazao hayo na kudumisha ubora wake ni muhimu teknolojia za kusindika nafaka zitumike. Usindikaji pia huongeza thamani ya zao.                             KUSINDIKA MAHINDI Punje za mahindi hutumika kupika makande na husindikwa kupata unga unaotumika katika matumizi mbalimbali. Vile vile bidhaa nyingine zinazotokana na mahindi ni mafuta na wanga. KUSINDIKA MAHINDI KUPATA UNGA Kuna aina mbili za unga wa mahindi, unga wa mahindi yasiyokobolewa(Dona) na unga wa mahindi yaliyokobolewa (Sembe)  KUSINDIKA MAHINDI KUPATA UNGA WA DONA Vifaa • Mashine ya kukoboa • Mashine ya kusaga • Ungo • Debe • Mifuko • Chekeche ya nafaka Jinsi ya kusindika • Pepeta na pembua mahindi ili kuondoa vumbi na takataka nyingine kwa kutumia chekeche, ungo a...

SOMO LA NANE : KUTENGENEZA WINE YA NANASI.

Nanasi.  Wine  ya  nanasi  ni  rahisi  kutengeneza  kwa  sababu  mananasi  yanapatikana  kwa  wingi  sana  katika  kipindi  kirefu  cha  mwaka. MALIGHAFI  ZINAZO  HITAJIKA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NANASI. * Nanasi. *  Maji. * Sukari. * Amira. HATUA  YA  KWANZA  KUTENGENEZA *  Menye  maganda  ya  mananase  na  kupata  nyama . ( Kinacho  tumika  katika  utengenezaji  wa  wine  ya  nanasi  ni  nanasi  lenyewe  na  sio  maganda  ya  mananasi  ) *  Katakata  vipande  vidogo  kisha  weka  katika  chombo  kwa  ajili  ya  kuchemsha,  nanasi  linalo  faa  katika  utengenezaji  wa  wine  ya  nanasi  n...

SOMO LA SABA : UTENGENEZAJI WA WINE YA NDIZI

Wine  ya  Ndizi.  Wine  ya  ndizi  inatokana  na  ndizi  mbivu.  Aina  yoyote  ya  ndizi  ambayo  inaweza  kuwiva  inaweza  kutumika  kutengeneza  wine. Ili  wine  yako  iweze  kuwa  na  kilevi  ni  lazima  uichanganye  na  amira, usipoweka  amira  wine  yako  itakuwa  tamu  lakini  isiyokuwa  na  kilevi. MALIGHAFI  ZINAZO  HITAJIKA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NDIZI. *  Ndizi   zilizo  iva  vizuri. * Maji *  Vyombo  vya  kuhifadhia. *  Amira * Sukari. HATUA  ZA  KUFUATA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NDIZI.                     ...