KUFAULU
FORM 4 NI LAZIMA
Wanafunzi
wengi hufeli kidato cha nne kwa sababu ya kukosa usimamizi sahihi wa maendeleo
yao ya kitaaluma.
Kwa
sababu hiyo basi, taasisi ya Rafiki Elimu EDUCATION Consultancy imekuja na
programu maalumu ya kutoa usimamizi wa
maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi wa shule za sekondari wanao hitaji
kusimamiwa kitaaluma.
RafikiElimu
EDUCATION Consultancy ni taasisi inayo husika na usimamizi wa maendeleo ya
kitaaluma kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Lengo la taasisi hii ni
kuhakikisha wanafunzi inao wasimamia, wanapata ufaulu wa juu kabisa katika
mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne.
Ewe
mzazi, ewe mlezi, ambae unatamani kuona kijana wako akipata ufaulu wa juu
kwenye mitihani yake ya kidato cha nne, njoo muandikishe kwenye programu yetu.
Pamoja na mambo mengi muhimu ya kitaaluma, wanafunzi watakao jiunga na programu
hii watafaidika kwa kupata program zote muhimu za kitaaluma kama zinavyo tolewa
kwenye shule za sekondari zinazo fanya vizuri kitaaluma nchini. Programu hii
haingiliani na ratiba ya darasani ya mwanafunzi. Gharama za kujiunga na
programu hii ni nafuu sana na inalipwa kwa mwezi. Fomu za kujiandikisha kwenye
programu hii, zinapatikana kwenye ofisi za tawi letu jipya la Chanika, zilizopo
katika eneo la Nzasa Kwa Mwarabu.
Kufika ofisini kwetu, panda bajaji za Nzasa
kisha shuka Nzasa kwa Mwarabu halafu piga 0693
005 189.
Ewe
mzazi, ewe mlezi, muandikishe mwanao kwenye programu hii, ili apate ufaulu wa juu
kwenye mitihani yake ya kuhitimu kidato cha nne.
Tovuti
: www.rafikielimu.blogspot.com
E.mail
: rafikielimutanzania@gmail.com
Instagram
Page : RafikiElimu EDUCATION Consultancy
Comments
Post a Comment