NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI. RafikiElimu Foundation ni Taasisi Isiyokuwa ya kiserikali ( NGO ) inayo jihusisha na Maendeleo Ya Sekta ya Elimu Tanzania. Taasisi inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA VYAKULA MAALUMU KWA WAGONJWA WA PRESHA NA KISUKARI,WAZEE, WAJAWAZITO, WATOTO WACHANGA NA WATU WENYE MATATIZO YA UNENE & UZITO. Lengo la mafunzo haya ni kuwaandaa wahitimu kufanya kazi ya kutoa mafunzo watakayo yapata kwa vijana Elfu Tano waliopo katika kata mbalimbali za jijini Dar Es salaam. SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO : 1. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita na kuendelea. 2. Awe mkaazi wa Dar Es salaam. 3. Awe na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha za Kiswahili na kiingereza. MUDA WA MAFUNZO : Mafunzo haya yatafanyika