TANGAZO LA UFADHILI KWA
WASANII CHIPUKIZI
WA FILAMU NA
MUZIKI.
1. Wewe ni
msanii chipukizi wa
filamu au maigizo ?
2. Wewe ni
mwandishi chipukizi wa
filamu ?
3. Wewe ni
mtayarishaji chipukizi wa
filamu ?
4. Wewe ni
muimbaji / mwanamuziki chipukizi
Unataka
kukamilisha ndoto zako
lakini haujui pa
kuanzia ? Kama jibu
ni ndio basi
hii ni habari
njema sana kwako.
Taasisi ya RafikiElimu
Foundation inapenda kuwatangazia wananchi
wote kuwa sasa,
tumeanza kutoa ufadhili
na udhamini kwa wasanii
chipukizi wa filamu, waandishi chipukizi
wa filamu, watayarishaji (
Producers ) chipukizi wa filamu
pamoja na waimbaji(wanamuziki ) chipukizi wenye
sifa zifuatazo :
1. Awe
na kipaji cha
kuigiza AU
2. Awe na
kipaji cha uandishi
wa filamu AU
3. Awe na
nia thabiti ya
kuwa mtayarishaji wa
filamu AU
4. Awe na
kipaji cha uimbaji.
5. Awe raia
wa Tanzania na
mkaazi wa jijini
Dar Es salaam.
6. Awe na
umri wa kuanzia
miaka 14 hadi
55.
UTARATIBU WA KUTUMA
MAOMBI
Tuma
maombi
yako kupitia barua
pepe yetu ambayo
ni : rafikielimutanzania@gmail.com . Maombi
yaelekezwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji,RafikiElimu Foundation, S.L.P 35967,
Dar Es
salaam.
AU
Unaweza kuleta
maombi yako moja
kwa moja katika
ofisi zetu. Ofisi zetu
zipo katika eneo
la CHANGANYIKENI karibu
na CHUO CHA
TAKWIMU.
Kufika katika
ofisi zetu, panda daladala
za UBUNGO- CHANGANYIKENI kisha
shuka kituo cha
TAKWIMU halafu tembea
hatua ishirini mbele
kisha tazama upande
wako wa kulia
utaona ofisi imeandikwa
RAFIKIELIMU FOUNDATION.
Mwisho wa
kupokea maombi ni
tarehe 30 SEPTEMBA
2013.
Comments
Post a Comment