Vijana kutoka Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya, Kagera : Vinara kwenye mafunzo ya utengenezaji wa pipi za kihindi.
Mikoa ya Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya na Kagera imeongoza kwa kutoa idadi kubwa ya vijana wanao shiriki katika mafunzo ya UTENGENEZAJI WA PIPI ZA KIHINDI.
Mafunzo ya kutengeneza Pipi za Kihindi ni mafunzo yanatolowea na Taasisi ya Facility Elimu Education Consultancy, yenye makao yake makuu, Chanika, wilaya ya Ilala, mkoani Dar Es Salaam.
Katika mafunzo hayo yanatolewa kwa njia ya masafa marefu ( Distance Learning Program), idadi kubwa ya washiriki wa mafunzo hayo wanatoka katika mkoa wa Dar Es Salaam, huku ikifuatiwa na mikoa ya Mwanza, Mbeya na Kagera.
Pipi za Kihindi ni pipi zinazo pendwa sana na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Vijana wanao shiriki kwenye mafunzo haya, utumia ujuzi huo, kutengeneza pipi hizo majumbani mwao na kisha kwenda kuziuza kwenye shule za msingi na / au sekondari.
Mafunzo haya yame anzishwa maalumu kwa ajili ya kuwasaidia vijana walio feli kids to cha nne kwa kupata Division 4 na Zero, kupata ujuzi utakao wawezesha kujiajiri wenyewe jambo litakalo wawezesha kutengeneza vipato vyao wenyewe.
Imetolewa na;
Uongozi,
Rafiki Elimu Education Consultancy.
E. Mail : rafikielimutanzania@gmail.com
Simu : 0693 005 189
Comments
Post a Comment