PIPI ZA
KIHINDI NI NINI ?
Pipi za
kihindi, ni pipi zinazo tengenezwa majumbani kwa kutumia sukari ya kawaida ama
sukari guru. Pipi hizi ni pipi zinazo pendwa sana na watoto wa shule za msingi
na sekondari. Kama ukipata shule yenye
wanafunzi wengi, basi unaweza kuuza hadi pipi elfu 2 kwa siku. Taasisi ya RafikiElimu EDUCATION Consultancy,
kupitia mradi wake wa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa njia ya Video ( Video-Mafunzo
Project), kuanzia tarehe 1 SEPTEMBA, 2025, itaanza kutoa mafunzo ya jinsi ya
kutengeneza pipi za kihindi. Gharama za
mafunzo haya ni nafuu sana. Fomu za
kujiandikisha kwenye mafunzo haya, zinapatikana kwenye ofisi za tawi letu jipya
la Chanika, zilizopo katika eneo la Nzasa kwa Mwarabu. Mwisho wa kuchukua fomu
ni tarehe 25 AGOSTI 2025 saa tisa kamili alasiri. Jinsi ya kufika ofisini
kwetu, panda bajaji za Nzasa –Shule, kisha shuka kwa Mwarabu halafu piga simu
namba 0693 – 005 189.
Tovuti yetu
: www.rafikielimu.blogspot.com
E.mail: rafikielimutanzania@gmail.com
Instagram
Page : RafikiElimu EDUCATION Consultancy
Comments
Post a Comment