NAFASI ZA KAZI ZA NDANI ( NDANI YA CHANIKA)
(
Kwenda
na Kurudi au Kulala Nyumbani kwa Mwajiri
)
Sifa za mwombaji wa Nafasi ya kazi ya ndani.
1.
Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea
2.
Ujue kusoma na kuandika
3.
Uwe na akili timamu.
4.
Uwe nadhifu, mtiifu na mwaminifu.
5.
Uwe unaishi ndani ya Chanika, na uwe
tayari kufanya kazi ya msaidizi wa kazi za ndani ndani ya Chanika.
Kama
una sifa hizo, basi tuletee barua yako ya maombi ofisini kwetu. Barua yako ya
maombi iambatane na passport size zako nne za rangi, barua kutoka serikali ya
mtaa unaoishi, pamoja na barua ya wadhamini wako wawili ambao wanaishi ndani ya
Chanika.
Tunapatikana
Nzasa kwa Mwarabu. Jinsi ya kufika ofisini kwetu, panda bajaji za kwenda Nzasa,
kisha shuka Nzasa kwa Mwarabu, halafu piga simu namba 0693-005 189.
Tovuti
: www.rafikielimu.blogspot.com
E.mail:
rafikielimutanzania@gmail.com
Instagram
: RafikiElimu EDUCATION Consultancy
#
LETA
MAOMBI YAKO MAPEMA, KABLA NAFASI HAZIJAISHA
Comments
Post a Comment