NAFASI NNE ZA KUJITOLEA WILAYA YA ILALA.
TUNAWEZA WOMEN GROUP ni Asasi Isiyokuwa ya Kiserikali ( NGO ) inayo jihusisha na maendeleo ya wanawake Tanzania. Taasisi inatangaza nafasi za kujitolea kama ifuatavyo :
1. Mtaalamu wa ujasiria mali...NAFASI MOJA.
2.Mtaalamu wa kukuza pesa za mfuko wa taasisi.....NAFASI MOJA.
3. Mwalimu wa michezo................NAFASI MOJA.
4. Mtaalamu wa masuala ya sheria na haki za binadamau............NAFASI MOJA.
Tuma maombi yako kwenda kwa :
MWENYEKITI ,
TUNAWEZA WOMEN GROUP.
S.L.P DAR ES SALAAM.
tUMA MAOMBI YAKO KUPITIA : womentunaweza@yahoo.com
WASILIANA NAO KWA SIMU : 0784399400,0715485834.
MAOMBI YOTE YATUMWE KABLA YA TAREHE 14 DESEMBA 2012.
Comments
Post a Comment