RafikiElimu FOUNDATION ni Taasisi isiyokuwa ya kiserikali inayo jishughulisha na Maendeleo ya jamii. Taasisi inapenda kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya sekondari kwa waombaji wenye sifa zifuatazo :
1. Awe yatima wa jinsia ya kike au awe masichana anayeishi katika mazingira magumu.
2.Awe raia wa Tanzania.
3. Awe anajiandaa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kuanzia Januari 2013. AU
4. Awe anajiandaa kujiunga na masomo ya kidato cha tano katika mwaka wa masomo 2013/14.
5. Awe ni mwanafunzi ambaye tayari anasoma sekondari lakini anashindwa/ ama ameshindwa kuendelea na masomo yake kutokana na kufiwa na wazazi ama walezi wake.
* N.B : Ufadhili wa masomo kwa kidato cha tano na sita utatolewa kwa wanao taka kuchukua masomo nya michepuo ya ARTS.
Tuma barua yako ya maombi ya ufadhili wa masomo kwenda kwa :
MKURUGENZI MTENDAJI,
RAFIKIELIMU FOUNDATION,
S.L.P 35967,
DAR ES SALAAM.
* Katika barua yako ambatanisha barua ya serikali ya mtaa unaoishi, cheti chako cha kuzaliwa ama Hati ya Kiapo " AFFIDAVIT " , picha zako nne za rangi, pamoja na vielelezo vingine vinavyo thibitisha kwamba wewe ni yatima.
* Maombi yako yatufikie kabla ya tarehe 07 JANUARY 2013.
* Maombi yanaweza kutumwa na msimamizi wa mwanafunzi husika kwa niaba yake.

asnte kwa huduma yenu nzuri nimeipenda,
ReplyDeletelakini naomba kufahamu jambo moja kuwa ni kwanini mnawasaidia jinsia ya kike tu ile hali kuna hata watoto wa jinsia ya kiume ambao hata wao pia ni yatima????
wapo wengi wanatamani kupata msaada wa kimasomo je ni kwanini mko upande mmoja wa kike tu.
God bless you guys
ReplyDeleteGod bless you guys
ReplyDelete