KUTOKA TUNDUMA : MAANDAMANO YA WANAFUNZI YASABABISHA VURUGU, POLISI WALAZIMIKA KUTUMIA MABOMU YA MACHOZI..
Wanafunzi na wananchi wakiwa wanachoma baadhi ya Maeneo Tunduma Wananchi wa Tunduma wakiwa wanashuhudia Live tukio la wanafunzi wa shule za Msingi Tunduma walipo goma |
Njia ya Kuelekea Boda la Tunduma ikiwa imefungwa |
Wananchi wa Tunduma wakiwa wanashuhudia Live tukio la wanafunzi wa shule za Msingi Tunduma walipo goma |
PICHA NA HABARI ZOTE NI KWA MUJIBU WA ; WWW.MBEYAYETU.BLOGSPOT.COM .
Kutoka RafikiElimu : Tunaiomba serikali imalize mgogoro huu haraka iwezekanavyo ili wanafunzi warudi darasani na kuendelea na masomo yao kama kawaida. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
Comments
Post a Comment