|
Wanafunzi wa shule za msingi Vwawa wakiwa wanapiga vidumu huku wakielekea ofisi ya mkuu wa wilaya ni Baada ya walimu kugoma. |
|
Wanafunzi wa Shule ya msingi Vwawa iliyopo katika manispaa ya Mbeya wakiandamana kuelekea katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya . |
Kufuatia mgomo wa walimu ulioandaliwa na Chama Cha Waalimu Tanzania, " CWT " kuanzia tarehe 30 Julai 2012 kwa muda usiojulikana hadi hapo serikali itakapo timiza madai yao, wanafunzi wa Shule Ya Msingi Vwawa iliyopo katika manispaa ya Mbeya, waamua kuandamana hadi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, kuishinikiza serikali kuwatimizia walimu madai yao ili waweze kuendelea na masomo yao. Picha na habari kutoka :
www.mbeyayetu.blogspot.com
Comments
Post a Comment