RafikiElimu Foundation wanatangaza nafasi za mafunzo ya ujasiriamali . Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja na :
1. Kutengeneza sabuni
2. Kutengeneza chaki
3.Kutengeneza mishumaa.
4.Kutengeneza viatu vya ngozi.
5. Kutengeneza mkaa kwa makaratasi.
6. Kutengeneza batiki.
7. Uokaji mikate
8. Usindikaji wa vyakula na vinywaji pamoja na
9. Uongozi wa biashara.
WALENGWA WAKUU WA MAFUNZO/ SIFA ZA WASHIRIKI
Ili uweze kupata nafasi ya kushiriki katika mafunzo haya unatakiwa uwe na sifa zifuatazo:
1. Uwe raia wa Tanzania.
2. Uwe na umri wa kuanzia miaka 16 na kuendelea.
3. Uwe unajua kusoma na kuandika .
ADA YA KUSHIRIKI KATIKA MAFUNZO
Ada ya kushiriki katika mafunzo haya ni shilingi Elfu Ishirini na Tano Tu ( Tshs. 25,000/=)
MALIPO YA ADA
Malipo ya ada ya mafunzo yafanyike kupitia CRDB BANK, Account number 0152395997900 , Jina la Akaunti ni RAFIKI ELIMU FOUNDATION.
Malipo yafanyike kabla ya tarehe 28 Agosti 2012
TAREHE YA KUANZA KWA MAFUNZO
Mafunzo yataanza rasmi siku ya tarehe 01 Septemba na yatafanyika katika vituo vya Dar Es salaa, Arusha, Moshi, Mwanza, Tanga, Morogoro,Mbeya na Dodoma.
Kujiandikisha katika mafunzo haya, tuma barua yako ya maombi ambatanisha na nakala ya risiti ya malipo ya ada ya mafunzo kwenda kwa :
Mkurugenzi Mtendaji,
RafikiElimu Foundation,
S.L.P 35967,
Dar Es salaam.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Agosti 2012.

Comments
Post a Comment