Taasisi ya RafikiElimu
Foundation inapenda kuwatangazia vijana
wa kitanzania nafasi za mafunzo :
KOZI ITAKA YO FUNDISHWA : HIV/AIDS AND COUNSELLING FOR WOMEN.
SIFA ZA
MWOMBAJI NAFASI :
1.Awe wa jinsia ya
kike ( Msichana/Mwanamke )
2 Awe mtanzania
mwenye umri wa kuanzia miaka 18
hadi 45.
3. Awe na elimu ya kuanzia
kidato cha sita nakuendelea au awe
mwanafunzi katika taasisi yoyote ya elimu
ya juu.
4. Anayeweza kusoma
na kuelewa kwa njia ya masafa marefu.
6. Akiwa na
ufahamu wa msingi ( Basic
Knowledge ) wa masuala
ya Research atafikiriwa kwanza.
7. Awe
anaishi katika wilaya yoyote iliyopo
Tanzania bara.
MUDA WA MAFUNZO :
Mafunzo haya yatafanyika kwa muda wa
miezi mitatu. Mwezi mmoja utakuwa ni
mafunzo kwa njia ya nadharia na miezi
miwili itakuwa ni mafunzo kwa njia ya
vitendo ambayo yatafanyika mashuleni na
kwenye vituo vya mafunzo ya ujasiriamali.
BAADA YA KUHITIMU :
Wahitimu wa mafunzo haya, watapata nafasi
ya kuandika kwa pamoja kitabu kinacho
wahusu wanawake wa Tanzania naUkimwi pamoja
na nafasi ya kufanya internship kwa miezi
miwili katika taasisi inayojihusisha na masuala
ya wanawake na ukimwi Tanzania.
ADA YA MAFUNZO:
Ada ya mafunzo haya maalumu ni
shilingi elfu 25 tu kwa mwezi.
ADA YA FOMU
A MAOMBI : Ada ya Fomu ya maombi
ya kujiunga na masomo haya ni shilingi Elfu 12
tu.
Tuma maombi
ya fomu ya kujiunga na mafunzo-kazi haya
kupitia barua pepe yetu ambayo ni : rafikielimutanzania@gmail.com.
Maombi yaelekezwe
kwenda kwa :
Mkurugenzi Mtendaji,
RafikiElimu Foundation,
Centre For Distance
Learning Programme.
S.L.P 35967,
Dar Es salaam.
Mwisho wa kupokea
maombi ni tarehe 17 MEI 2013
Mafunzo yataanza,
tarehe 21 MEI 2013.
Comments
Post a Comment