RAFIKIeLIMU MOROGORO wanakuletea SEMINA
YA MAFUNZO YA
UJASIRIAMALI . Mafunzo yatakayo fundishwa
ni pamoja na
Utengenezaji wa bidhaa
mbalimbali kama vile ;
Sabuni za aina
mbalimbali, chaki, mishumaa,
usindikaji, utengenezaji wa
manukato ( perfumes ), lotion,
mafuta ya kujipaka, kiwi, mango pickles, Chilly Sauce, Tomato
Sauce nakadhalika.
WAPI : BERRICK EDUCATION CENTRE karibu na SABASABA, mkabala na JENGO LA CCM MKOA MOROGORO.
.
.
LINI :
Tarehe 20 MEI hadi 31 MEI kuanzia
saa nane kamili mchana hadi saa kumi na mbili jioni .
ADA YA
KUSHIRIKI : Shilingi
Elfu Kumi Tu ( Tshs. 10, 000/=)
Andika maombi yako kupitia barua pepe yetu : rafikielimutanzania@gmail.com
Comments
Post a Comment