RAFIKIeLIMU
FOUNDATION kwa kushirikiana
na Taasisi ya
VISION FOR YOUTH
ya Jijini Arusha, wanakuletea SEMINA
YA MAFUNZO YA
UJASIRIAMALI . Mafunzo yatakayo fundishwa
ni pamoja na
Utengenezaji wa bidhaa
mbalimbali kama vile ;
Sabuni za aina
mbalimbali, chaki, mishumaa,
usindikaji, utengenezaji wa
manukato ( perfumes ), lotion,
mafuta ya kujipaka, kiwi, mango pickles, Chilly Sauce, Tomato
Sauce nakadhalika.
WAPI : KWENYE
UKUMBI WA MAKUMBUSHO
ULIOPO KARIBU NA
MNARA WA MWENGE.
LINI :
Tarehe 20 hadi
21 Mwezi wa
Tano ( MEI ) kuanzia
saa tatu kamili
asubuhi hadi saa
tisa kamili alasiri.
ADA YA
KUSHIRIKI : Shilingi
Elfu Ishirini Na
Tano Tu ( Tshs. 25,000/=)
Kwa maelezo zaidi
wasiliana na Uongozi
wa Taasisi Ya VISION FOR
YOUTH kwa Simu : 0762580504.
AU
Fika katika ofisi
zao zilizopo katika
eneo la NAIROBI
ROAD, LUSONA HOUSE, 3rd FLOOR
Comments
Post a Comment