Taasisi ya ORPHANS & VULNARABLE CHILDREN CARE ( OVCC ) ya Mjini SINDIDA inatangaza nafasi za kazi za kujitolea kama ifuatavyo : Picha za matukio ya shughuli mbalimbali za Taasisi ya OVCC. 1. Miandi Secondary school:- Volunteers wa masomo yafuatayo:- (i) Physics 2 (ii) Chemistry 2 (iii) Biology 2 ...