Tunapenda kuwatangazia wanafunzi wetu wote wa kozi ya UALIMU WA UJASIRIAMALI inayo tolewa chini Mradi Wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini ( EUMIVI -Project ) kwamba wanatakiwa kuwa wamekwisha pokea maswali ya mitihani ya nadharia mpaka sasa. Kwa wanafunzi ambao mpaka sasa bado hawajapokea maswali ya mtihani wa nadharia tafadhali tuandikieni barua pepe ya kutujulisha.
Imetolewa na Uongozi,
RafikiElimu Foundation.
Imetolewa na Uongozi,
RafikiElimu Foundation.
Comments
Post a Comment