African Women Entreprenuership Programme (AWEP) Tanzania Chapter
imezinduliwa rasmi jioni hii katika hoteli ya Double Tree,mgeni rasmi
akiwa ni Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda ,pamoja na
Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt
Hii ni Ngao iliyobidhiwa rasmi na Sylvia Banda ambaye ni balozi na
mwenyekiti wa AWEP Zambia ,kudhihirisha kuwa AWEP Tanzania imezinduliwa
rasmi kwa kuikabidhi kwa Mgeni rasmi wa Waziri wa Viwanda na Biashara
,Abdallah Kigoda na Balozi wa Marekani nchini ,Alfonso Lenhardt
Madam Sylvia Banza, Balozi wa AWEP Zambia akiikabidhi ngao hii ,
ambayo nae alikabidhiwa na Mama Bill Clinton alipoizindua AWEP Zambia
mwaka juzi
Mwenyekiti wa AWEP Tanzania, Bi Flotea Masawe.
Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, ambao ni
wafadhili wa AWEP katika mkakati wake wa kuwakwamua wanawake
wajasiriamali wa Afrika
Waziri Abdallah Kigoda akiwasili katika hafla
ilofanyika jioni hii, na kuhudhuriwa na wanachama kutoka sehemu
mbalimbali nchini, ambao baadhi walikuwa katika mafunzo ya kujifunza
ujasiri amali ambao unalengo la kuwafanya wawekezaji
Mama Lowasa pamoja na Balozi Maajar walihudhuria uzinduzi huu wa AWEP Tanzania
Baadhi ya wanachama wa AWEP Tanzania Chapter katika picha ya pamoja na mgeni rasmi sambamba na Balozi Alfonso
burudani ilikuwa toka kwa Makumbusho Traditional Dancers
CREDIT : WWW.LADYJAYDEE.BLOGSPOT.COM
Comments
Post a Comment