Uongozi wa RafikiElimu Foundation unapenda kuwajulisha wanafunzi wetu wote wanao chukua mafunzo ya NGO-MANAGEMENT & OPERATION ( MARCH INTAKE ) na wale wanao soma mafunzo ya UALIMU WA UJASIRIAMALI kuwa wameisha tumiwa kwa njia ya barua pepe, barua za kuripoti katika vituo vyao vya mafunzo kwa vitendo. Kwa wanafunzi ambao mpaka sasa bado hawajapokea barua za kuripoti katika vituo vya mafunzo kwa vitendo mnaombwa kutujulisha kwa barua pepe ama kupiga simu namba 0782405936. Atakaye pokea ujumbe huu, anaombwa kumfahamisha na mwenzake.
Imetolewa na Uongozi,
RafikiElimu Foundation.
Imetolewa na Uongozi,
RafikiElimu Foundation.
Comments
Post a Comment