RafikiElimu FOUNDATION, inafanya kazi kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali zisizokuwa za kiserikali na zile za kiserikali zilizopo ndani na nje ya Tanzania. Moja kati ya mambo tunayo shirikiana na taasisi nyingine, ni kuwapa vijana wa kitanzania wenye sifa, uwezo na ujuzi mbali mbali, nafasi za kufanya kazi kwa kujitolea " ku- volunteer " katika nafasi husika. Kuanzia leo, tutakuwa tukibandika katika tovuti yetu hapa, nafasi mbali za kazi za kujitolea zinazo tolewa na taasisi mbalimbali za kijamii. Unacho takiwa kufanya kutuma maombi yako moja kwa moja katika taasisi husika ambayo tutaiweka pamoja na contacts zake. Sisi kama RAEFO hatuhusiki na chochote na nafasi hizo, isipokuwa jukumu letu ni kuzitangaza hapa bloguni ili kukuwezesha wewe muhitaji kuziona na kuziomba. Endelea kutembelea blogu hii mara kwa mara.
Mahindi ni miongoni mwa mazao ya chakula ambayo unga wake unatumika kutengeneza unga lishe. UNGA LISHE : Ni unga bora na unao hitajika sana katika kuborehs afya za watoto, wazee na wagonjwa. Ukiwa kama mjasiriamali mdogo, ni muhimu kujua namna ya kutengeneza unga lishe, kwani malighafi zinazo tumika katika utayarishaji wa unga huu zinapatikana kwa wingi na kwa bei nafuu, hivyo basi hata kwa wewe mwenye mtaji mdogo, unaweza kufanya biashara hii bila ya kuhitajika kuwa na mtaji mkubwa jambo linalo chukuliwa...
Comments
Post a Comment