RafikiElimu FOUNDATION ni TAASISI isiyokuwa ya kiserikali ( NGO ) inayo jihusisha na Maendeleo Ya Jamii . Taasisi kupitiaa mpango wake " DISTANCE LEARNING PROGRAMME" " Mpango Wa Elimu Ya Masafa Marefu " inatangaza nafasi za UTAYARISHAJI & UANDISHI WA VITABU VYA KITAALUMA. SIFA ZA MWOMBAJI. Awe na elimu, ujuzi, sifa na uwezo wa kuandaa na kutayarisha muswaada wa uandikaji wa kitabu cha kitaaluma katika moja wapo kati ya masomo yafuatayo : 1. Law 2. Mass Com & Journalism. 3. Community Development. 4. Business ...