Total Pageviews

Monday, November 12, 2012

NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA KIGOMA.

Taasisi  ya  NYAKITONTO  YOUTH  FOR  DEVELOPMENT  TANZANIA  ya  mjini  Kigoma, Tanzania, inatangaza  nafasi  za  kazi  za  kujitolea   kama  ifuatavyo :

                     


1.      Grant/Project Officer-Kilimo,Usafi na mazingira wa NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.  (  Nafasi  Moja  )

2. Grant /project Officer-Elimu na Sera.wa NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA   (  Nafasi  Moja   )

3. Grant/Project Officer-Women and Girls Health services in Kigoma. (  Nafasi Moja )


4. Project Development Officer-Youth and Children of NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.               (  Nafasi  Moja  )
5. Programe coordinator youth talents and enterprenueship.  (  Nafasi  Moja  ) 
6. Webdissgner ,Publisher and IT OFFicer_________ (  Nafasi  Moja  )


     1.
S           

MASHARITI.

        i.            Kila officer atawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji na Kamati Tendaji ya asasi

     ii.            Atahusika na kuandika,Tafiti,project(miradi) na kuoganaze Fundraising events-ili kupata Ruzuku/partiners katika idara yake kwa ajili ya maendeleo jamii.

   iii.            Atakuwa mjumbe katika kamati  ya mipango,Utunishaji mfuko na Kutandaa(Networking) kwa asasi yetu ya NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA.
   iv.            Katika Ruzuku/Fedha atakayoiingizia asasi inayoanzi us dolla elf $ 5000 atapatiwa motisha kati ya  08%  ya Ruzuku hiyo kama motisha yake na Maendeleo yake,pia atalipwa posho kadiri atakavyokuwa ameiandika katika bajeti ya andiko lake,ili kujikimu maisha yake ya kila siku awapo Ofisini kwetu.

      v.            Atakuwa na hadhi ya kuwa mwanachama wa asasi ,Kikatiba-Mwanachama wa kujitolea.,na pia asasi itatumia influence yake kama Cv zake,kutetea miradi kulingana na mahitaji.

   vi.            Atasaini Mkataba wa kati yake na Asasi katika majukumu atakayo kubaliana na sisi.

Picha  za  matukio  mbalimbali  ya  shughuli mbalimbali  za  Taasisi  ya   Naykitonto  Youth  For  Development  Tanzania.
SIFA ZA  WAOMBAJI  NAFASI. 

        i.            Awe na uzoefu katika kazi-idara anayoomba kujitolea.
     ii.            Awe na elimu ya sekondari,Diploma na au  Shahada ya kwanza au Zaidi(tunakaribisha zaidi Wenye( Masters,Phd,Docters na Profesa)
   iii.            Awe anasoma  masters,Na Tungependa Dissertation zao,Zilenge masuala ya asasi yetu,ili kupitia kwazo wanufaike nazo,jamii inufaike nazo na Ruzuku ipatikane kwa maendeleo ya Officer na asasi kwa ujumla.
   iv.            Wenye uwezo wa kuandika Miradi na Wadau wa AZAKI WANAPENDELEWA SANA.
NAMNA  YA  KUTUMA  MAOMBI : 

Maombi  yote  yatumwe  kwa  njia  ya  barua  pepe : dyouthkgm@yahoo.com :  kwenda  kwa:

MKURUGENZI  MTENDAJI. 
NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA
P.O.BOX  890,
KIGOMA.

Contact  Person :  RAMADHAN JOEL NKEMBANTI
SIMU                    :  0765794896

DEADLINE  :  Tarehe  20  NOVEMBA  2012.No comments:

Post a Comment