RafikiElimu Foundation wanatangaza nafasi za mafunzo ya ujasiriamali . Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja na : 1. Kutengeneza sabuni 2. Kutengeneza chaki 3.Kutengeneza mishumaa. 4.Kutengeneza viatu vya ngozi. 5. Kutengeneza mkaa kwa makaratasi. 6. Kutengeneza batiki. 7. Uokaji mikate 8. Usindikaji wa vyakula na vinywaji pamoja na 9. Uongozi wa biashara. WALENGWA WAKUU WA MAFUNZO / SIFA ZA WASHIRIKI Ili uweze kupata nafasi ya kushiriki katika mafunzo haya unatakiwa uwe na sifa zifuatazo: 1. Uwe raia wa Tanzania. 2. Uwe na umri wa kuanzia mia...