Skip to main content

Posts

Showing posts from 2012

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( NGO STUDIES THROUGH DISTANCE LEARNING PROGRAMME )

Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation    inapenda  kuwatangazia  vijana  wa  kitanzania  nafasi  za  mafunzo  na  kazi  kama  ifuatavyo : KOZI  ITAKAYO  FUNDISHWA :  NGO  MANAGEMENT & OPERATION. SIFA  ZA  MWOMBAJI  NAFASI : 1. Kijana  wa  kitanzania  mwenye  umri  wa  kati  ya  miaka  18 hadi 45. 2. Elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  sita  na  kuendelea. 3. Aliye   na  malengo  ya  kufanya  kazi  katika  taasisi  zisizokuwa  za  kiserikali  zilizopo  nchini  Tanzania. 4. Anayeweza  kusoma  na  kuelewa  kwa  njia  ya  masafa  marefu.  LENGO  LA  KOZI  HII : i.             ...

NAFASI NNE ZA KUJITOLEA WILAYA YA ILALA

   NAFASI  NNE  ZA  KUJITOLEA  WILAYA  YA  ILALA. TUNAWEZA  WOMEN  GROUP   ni  Asasi  Isiyokuwa  ya  Kiserikali  ( NGO )  inayo  jihusisha  na maendeleo  ya  wanawake  Tanzania. Taasisi  inatangaza  nafasi  za  kujitolea  kama  ifuatavyo : 1. Mtaalamu wa ujasiria mali...NAFASI  MOJA. 2.Mtaalamu wa kukuza pesa za mfuko wa taasisi.....NAFASI  MOJA. 3. Mwalimu wa michezo................NAFASI  MOJA.  4. Mtaalamu wa  masuala  ya  sheria  na  haki  za  binadamau............NAFASI  MOJA. Tuma  maombi  yako  kwenda  kwa  : MWENYEKITI  , TUNAWEZA  WOMEN  GROUP. S.L.P  DAR  ES  SALAAM. tUMA  MAOMBI  YAKO  KUPITIA  : womentunaweza@yahoo.com WASILIANA  NAO  KWA  SIMU  : 0784399400,07154858...

NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO YA SEKONDARI KWA YATIMA

RafikiElimu  FOUNDATION  ni  Taasisi  isiyokuwa  ya  kiserikali  inayo  jishughulisha  na  Maendeleo  ya  jamii. Taasisi  inapenda  kutangaza  nafasi  za  ufadhili  wa  masomo  ya  sekondari  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo  : 1. Awe    yatima  wa  jinsia  ya  kike  au  awe  masichana  anayeishi  katika  mazingira  magumu. 2.Awe  raia  wa  Tanzania. 3. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  kwanza  kuanzia  Januari  2013. AU 4. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  tano   katika  mwaka  wa  masomo 2013/14. 5. Awe   ni  mwanafunzi  ambaye  tayari  anasoma sekondari ...

NAFASI ZA UANDISHI WA VITABU VYA KITAALUMA..

RafikiElimu  FOUNDATION    ni  TAASISI   isiyokuwa  ya  kiserikali  (  NGO )  inayo  jihusisha  na  Maendeleo  Ya  Jamii .  Taasisi  kupitiaa   mpango  wake   "  DISTANCE   LEARNING  PROGRAMME"   "  Mpango  Wa  Elimu  Ya  Masafa  Marefu  "   inatangaza  nafasi  za   UTAYARISHAJI  & UANDISHI  WA  VITABU  VYA  KITAALUMA. SIFA  ZA  MWOMBAJI. Awe  na  elimu, ujuzi, sifa  na  uwezo  wa  kuandaa na  kutayarisha   muswaada  wa  uandikaji  wa  kitabu   cha  kitaaluma  katika  moja  wapo  kati  ya  masomo  yafuatayo : 1.  Law 2.  Mass  Com  &  Journalism. 3. Community   Development. 4. Business  ...

SOMO LA TISA : USINDIKAJI WA MAZAO YA NAFAKA

Mahindi  yaliyo  toka  kuvunwa. 1 .   USINDIKAJI  WA   ZAO  LA  MAHINDI : Ili kuongeza matumizi ya mazao hayo na kudumisha ubora wake ni muhimu teknolojia za kusindika nafaka zitumike. Usindikaji pia huongeza thamani ya zao.                             KUSINDIKA MAHINDI Punje za mahindi hutumika kupika makande na husindikwa kupata unga unaotumika katika matumizi mbalimbali. Vile vile bidhaa nyingine zinazotokana na mahindi ni mafuta na wanga. KUSINDIKA MAHINDI KUPATA UNGA Kuna aina mbili za unga wa mahindi, unga wa mahindi yasiyokobolewa(Dona) na unga wa mahindi yaliyokobolewa (Sembe)  KUSINDIKA MAHINDI KUPATA UNGA WA DONA Vifaa • Mashine ya kukoboa • Mashine ya kusaga • Ungo • Debe • Mifuko • Chekeche ya nafaka Jinsi ya kusindika • Pepeta na pembua mahindi ili kuondoa vumbi na takataka nyingine kwa kutumia chekeche, ungo a...

SOMO LA NANE : KUTENGENEZA WINE YA NANASI.

Nanasi.  Wine  ya  nanasi  ni  rahisi  kutengeneza  kwa  sababu  mananasi  yanapatikana  kwa  wingi  sana  katika  kipindi  kirefu  cha  mwaka. MALIGHAFI  ZINAZO  HITAJIKA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NANASI. * Nanasi. *  Maji. * Sukari. * Amira. HATUA  YA  KWANZA  KUTENGENEZA *  Menye  maganda  ya  mananase  na  kupata  nyama . ( Kinacho  tumika  katika  utengenezaji  wa  wine  ya  nanasi  ni  nanasi  lenyewe  na  sio  maganda  ya  mananasi  ) *  Katakata  vipande  vidogo  kisha  weka  katika  chombo  kwa  ajili  ya  kuchemsha,  nanasi  linalo  faa  katika  utengenezaji  wa  wine  ya  nanasi  n...

SOMO LA SABA : UTENGENEZAJI WA WINE YA NDIZI

Wine  ya  Ndizi.  Wine  ya  ndizi  inatokana  na  ndizi  mbivu.  Aina  yoyote  ya  ndizi  ambayo  inaweza  kuwiva  inaweza  kutumika  kutengeneza  wine. Ili  wine  yako  iweze  kuwa  na  kilevi  ni  lazima  uichanganye  na  amira, usipoweka  amira  wine  yako  itakuwa  tamu  lakini  isiyokuwa  na  kilevi. MALIGHAFI  ZINAZO  HITAJIKA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NDIZI. *  Ndizi   zilizo  iva  vizuri. * Maji *  Vyombo  vya  kuhifadhia. *  Amira * Sukari. HATUA  ZA  KUFUATA  KATIKA  UTENGENEZAJI  WA  WINE  YA  NDIZI.                     ...

SOMO LA SITA : UTENGENEZAJI WA MANGO PICKLES

Mango  Pickles  MANGO  PICKLES     au    "  ACHARI  YA  EMBE   "  ni  chachandu  inayo  tumika  kunogesha  utamu  wa  chakula.   Malighafi  kuu  katika  utengenezaji  wa  "   MANGO  PICKLES "   ni  embe.                                   MATAYARISHO * Embe  zisafishwe  vizuri  kwa  kuosha  vizuri  kwa  kutumia  maji  masafi. ( Embe  zioshwe kabla  hazijamenywa ) * Embe  likatwe  katwe  vipande  bila  kuligusa  kokwa,  vipande  hivyo  viwekwe  kwenye  kichanja  baada  ya  kukatwa  katwa  na  vianikwe   jua...

NAFASI ZA KU- VOLUNTEER DAR ES SALAAM.

 TANZANIA  SCIENCE  JOURNALISTS  ASSOCIATION,   inazo  nafasi  za  kazi  za  kujitolea     kama  ifuatavyo  : Requirements for Volunteers 1.)Have interest in writing science stories 2.)Be innovative on science technology and innovation stories 3.)Be committed                                             MAWASILIANO  YAO : Email address: tasja_11@hotmail.com Phone number: +255 715 600 568, +255 784 359555, +255 712 756046 Street address: P.O.BOX 10160 DAR ES SALAAM TANZANIA - E/AFRICA Mailing address: P.O.BOX 10160 DAR ES SALAAM, TANZANIA - E/AFRICA Contact name: GREYSON MUTEMBEI Contact title: PROGRAMME PRODUCER

NAFASI ZA KUVOLUNTEER WILAYA MBULU, MANYARA.

Taasisi  ya  SANU  ENGLISH    PRE &  PRIMARY  SCHOOL   ya  Wilayani  Mbulu, mkoani  Manyara  inazo  nafasi  za  kujitolea  kama  ifuatavyo  : 2Teachers – certificate in teaching from any institution A SCIENCE TEACHER,A MATHS TEACHER GRANT FOR CHILDREN DORMOTORIES AND GRAN FOR TEACHERS REMUNARATION FOR 3 YEARS We would like to have volunteers come for at least one semester   this will  allow for the best quality learning, if volunteers want to travel during the weekend doors are open to go to everywhere in the country Sanu English welcome your participation and idea Taswira  ya  SANU  ENGLISH  PRE & PRIMARY  SCHOOL. Maombi  yatumwe  kwa  : MANAGING  DIRECTOR, SANU  ENGLISH  PRE  &  PRIMARY  SCHOOLS P.O.Box   35, Mbulu  District, MANYARA.  proverbf...

NAFASI YA KUJITOLEA BABATI.

Picha  za  matukio  ya  shughuli  mbalimbali  za  Taasisi  ya  LATI  TANZANIA. Look  After  Them  International ,  ni  Taasisi  Isiyokuwa  ya  kiserikali  yenye  makao  yake  wilayani  Babati , mkoani  Manyara,  taasisi  inatangaza  nafasi  moja  ya  kazi  ya  kujitolea  katika  fani    ya   uhasibu. Sifa: 1. Mwanaume. 2. Atakaye weza kujilipia gharama za chakula. 3.Atakayeweza kufanya kazi si chini ya mwaka mmoja. 4.Creative and Innovative. 5.Mvumilivu. 6.Team builder. 7.Christian. Kazi : 1.Atapitia sera za fedha na kuziboresha. 2.Atafanya mlinganisho wa kibenki. 3.Ataandaa financial reports ya 2009,2010,2011,2012 by using international standards. 4.Atatoa report na ushauri kwa board. 5.Ataripoti kwa Katibu Mkuu. 6. Ataandaa donor's log book. 7. Atabuni na kutekeleza miradi ya ku...

SOMO LA TANO : UTENGENEZAJI WA TOMATO SOUCE.

Maandalizi  ya  utengenezaji  wa  Tomato  Souce. Tomato  Souce. MALIGHAFI  ZINAZO  HITAJIKA  KWENYE  UTENGENEZAJI  WA  TOMATO  SOUCE. 1. Nyanya            Kg  1.5 (  Kilo  moja  na  nusu  ) 2.Vitunguu  Maji.      Vitatu  vilivyo  menywa  na  kukatwa  katwa  vipande. 3. Mafuta  ya  Kupikia     Vijiko  Sita  Vya  Chakula. 4. Sukari                        Vijiko  viwili  vya  chai. 5. Citric  Acid. 6.Vinegar.                          Vijiko  viwili  vya  chai. HATU...

NAFASI ZA KUJITOLEA GEITA.

Taasisi  ya  BRIGHT  LIGHT  ORGANISATION  ya  Wilayani  GEITA   inatangaza  nafasi  za  kazi  za  kujitolea  kama  ifuatavyo : Picha  za matukio  ya  shughuli  mbalimbali  za  Taasisi  ya  BRIGHT  LIGHT  ORGANISATION  ya  wilayani  GEITA . 1:WALIMU  WAWILI  (ME na KE) ambao wanaweza kufundisha SCIENCE na ARTS,shule  ya  Sekondari. 2:-AFISA  MIRADI " Project  Officer  "  ambaye anaweza kubuni  na  kuandika  miradi  malimbali  yenye  tija  kwa  wafadhili. HUDUMA  TUTAKAZO  TOA.   Sisi  kama taasisi  ya  Bright  Light  Organisation  tutatoa  huduma  ya Chakula na malazi ,na itakuwa vizuri iwapo watakuwa tayari kuishi mazingira ya karibu na kituo chetu ili kuepuka gharama zisizo za lazim...