NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION
kupitia Mradi wa
Elimu Ya Ujasiriamali
Mijini & Vijijini, inatangaza nafasi
za MAFUNZO YA
UJASIRIAMALI. Mafunzo yatakayo
tolewa ni pamoja
na :
1. Somo la Ujasiriamali
2.
Uanzishaji na
undeshaji wa taasisi
zisizo kuwa za
kiserikali.
3.
Jinsi ya kutengeneza aina sita za
soda
4.
Jinsi ya kutengeneza bia aina mbali mbali
5.
Jinsi ya kutengeneza vodka na pombe
nyingine kali kwa vipimo
6.
Jinsi ya kutengeneza fruit wine (
wine ya matunda mbali mbali)
7.
Jinsi ya kutengeneza pipi, jojo
(chewing gum), toffee n.k
8.
Jinsi ya kutengeneza yogurt, ice
cream na cheese
9.
Jinsi ya kutengneneza tambi aina ya
pasta.
10.
Jinsi ya kutengeneza sabuni za
kuogea
11.
Jinsi ya kutengeneza scrub
12.
Jinsi ya kutengeneza lotion
13.
Jinsi ya
kutengeneza manukato (perfumes)
za aina
mbalimbali.
14.
Jinsi ya kutengeneza mafuta ya
kupaka
15.
Jinsi ya kutengeneza lip balm
16.
Jinsi ya kutengeneza dawa mbalimbali
za mimea zitokanazo na mimea tunayotumia kila siku
17.
Jinsi ya
kutengeneza vyakula lishe
mbalimbali.
18.
Jinsi ya kutengeneza Sabuni za mche
19.
Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya unga
20.
Jinsi ya kutengeneza Sabuni ya maji
21.
Jinsi ya kutengeneza Shampoo
22.
Jinsi ya kutengeneza Dawa ya usafi
chooni
23.
Jinsi ya kutengeneza Dawa ya
kusafishia Tiles.
24.
Jinsi ya kutengeneza Mishumaa
25.
Jinsi ya kutengeneza Chaki
26.
Jinsi ya kutengeneza Tomato &
Chilli Sauce
27.
Jinsi ya Kutengeneza Jam ya Nyanya
na Nanasi
28.
Jinsi ya kutengeneza Biscuits
29.
Jinsi ya kutengeneza Mkate wa ndizi
30.
Usindikaji wa
vyakula mbalimbali.
31.
Jinsi ya
kutengeneza kiwi
32.
Jinsi ya
kutengeneza blue band.
33.
Usindikaji wa
bidhaa za ngozi.
34.
Somo la
masaji
35.
Ubunifu , uendeshaji na
usimamizi wa miradi
mbalimbali.
36.
Uendeshaji na Usimamizi wa
vikundi vya kuweka
na kukopa fedha.
37.
Utengenezaji wa
vyakula vya mifugo.
38.
Utunzaji wa
wazee na watoto
wachanga.
39.
Kutunza na
kulea watoto yatima.
40.
Pamoja na
vitu vingine vingi.
SIFA ZA MWOMBAJI :
1.
Awe kijana wa
kitanzania
2.
Anaye jua
kusoma na kuandika.
3.
Kwa
watakao taka kutosoma
kozi namba 2, 35 na
36, mwombaji lazima awe
na elimu ya
kuanzia kidato cha
nne na kuendelea.
ADA YA
MAFUNZO
:
Mafunzo haya
yanatolewa bure.
FOMU ZA KUJIUNGA
NA MAFUNZO :
Fomu za
kujiunga na mafunzo
haya zinapatikana ofisini
kwetu kwa gharama
ya SHILINGI ELFU
KUMI NA TANO
TU (Tshs.15,000/=)
OFISI ZETU
zinapatikana jijini DAR ES SALAAM
katika eneo la
CHANGANYIKENI karibu na
CHUO CHA TAKWIMU
mbele ya CHUO
KIKUU CHA DAR
ES SALAAM.
JINSI YA KUFIKA
OFISINI KWETU:
Kufika ofisini
kwetu panda daladala
za MAWASILIANO
TOWER -
CHANGANYIKENI kisha shuka
kituo cha TAKWIMU
halafu tembea hatua
ishirini mbele utaona
ofisi imeandikwa RAEFO
TANZANIA.
KWA WAOMBAJI
WALIO NJE YA
MKOA WA DAR
ES SALAAM.
Kwa waombaji
waliopo nje ya
mkoa wa Dar Es
salaam, mafunzo yatatolewa kwa
njia ya posta.
Jinsi ya kuomba,andika
barua pepe ya
maombi ya fomu
ya kujiunga na
mafunzo haya, nasi tutakutumia
fomu yenye maelekezo
yote.
Maombi yako yaandikwe kupitia
barua pepe yetu : rafikielimutanzania@gmail.com
Maombi
yaelekezwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji,
RafikiElimu Foundation, S.L.P 35967,
DAR ES
SALAAM.
MWISHO WA
KUTOA FOMU NI
TAREHE 28 FEBRUARI
2015.
MAFUNZO YATAANZA
TAREHE 02 MACHI
2015.
Kwa maelezo
zaidi, piga simu 0
Au tembelea
Habari na nikitaka kujifunza namna ya kutengeneza glubiti itawezekana?
ReplyDelete