RAFIKI ELIMU MUSIC &
FILM ACADEMY
·
Je wewe ni
kijana wa kitanzania?· Una umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea ?
· Una ndoto za kuwa muigizaji filamu mkubwa nchini Tanzania?
· Una ndoto za kuwa mwanamuziki ama muimbaji mkubwa hapa Tanzania ?
RAFIKIELIMU MUSIC &FILM ACADEMY
ni kituo kinachotoa mafunzo ya
UIGIZAJI na UIMBAJI kwa vijana wa kitanzania
wenye umri wa kuanzia miaka kumi na
tano na kuendelea.
Wahitimu wa mafunzo haya
hupata nafasi ya kushiriki katika filamu ,
maigizo, tamthiliya na nyimbo mbalimbali zinazo
tayarishwa na Taasisi ya RAFIKIELIMU FOUNDATION.
ADA YA MAFUNZO : Mafunzo haya hutolewa BURE!
Mafunzo yataanza rasmi tarehe 02
MACHI 2014.
Mwisho wa kujiandikisha
ni tarehe 28 FEBRUARI 2014.
Chuo chetu kinapatikana katika
eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA
TAKWIMU mbele ya CHUO KIKUU CHA DAR ES
SALAAM.
Kufika Chuoni kwetu, panda daladala
za UBUNGO-CHANGANYIKENI kisha shuka katika
kituo cha TAKWIMU halafu tembea hatua
ishirini mbele, utaona bango limeandikwa
RAFIKIELIMU FOUNDATION.
>
Comments
Post a Comment