Taasisi ya RafikiElimu Foundation, inapenda kuwatangazia vijana wote wa kitanzania, nafasi za kushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali. Bidhaa zitakazo fundishwa ni pamoja na UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA KUJIPAKA , LOSHENI na MANUKATO. SIFA ZA WASHIRIKI : Mtu Yoyote anaweza kushiriki katika mafunzo haya. ADA YA KUSHIRIKI : Ada ya kushiriki katika mafunzo haya ni Shilingi ELFU ISHIRINI NA TANO TU ( Tshs. 25,000/= ). Mafunzo yatafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 01 AGOSTI 2013 hadi tarehe 03 AGOSTI 2013....