Taasisi ya
RafikiElimu FOUNDATION kupitia
MRADI WA ELIMU
YA UJASIRIAMALI MIJINI
NA VIJIJINJI inatangaza
nafasi za MAFUNZO
YA UTENGENEZAJI WA
MASHINE ZA KUTOTOLEA
VIFARANGA WA KUKU.
Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza
ni INCUBATOR ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE UWEZO
WA KUTUNZA JOTO
KWA SAA 48 PAMOJA
NA KUTOTORESHA MAYAI
KUANZIA 240 HADI
5000.
ADA YA MAFUNZO :
Ada ya
mafunzo haya ni SHILINGI
LAKI MBILI NA
ELFU HAMSINI TU
(Tshs. 250,000/=) na inalipwa
kwa awamu mbili.
TAREHE YA KUANZA
KWA MAFUNZO
Mafunzo haya
yatafanyika kwa muda mwezi
mmoja kuanzia tarehe
06
OKTOBA 2014 hadi
tarehe 10 NOVEMBA 2014.
FOMU ZA KUJIUNGA
NA MAFUNZO :
Fomu za
kujiunga na mafunzo
haya zinapatikana ofisini
kwetu kwa gharama
ya SHILINGI ELFU
KUMI NA TANO
TU ( Tshs.15,000/=).
MWISHO WA KUCHUKUA
FOMU :
Mwisho wa
kuchukua fomu ni
tarehe 30 SEPTEMBA
2014.
Ofisi zetu
zinapatikana katika eneo
la CHANGANYIKENI karibu
na CHUO CHA
TAKWIMU.
JINSI YA KUFIKA
OFISINI KWETU:
Kufika ofisini
kwetu, panda daladala za UBUNGO- CHANGANYIKENI kisha
shuka kituo cha
TAKWIMU halafu tembea
hatua ishirini mbele
kisha tazama upande
wako wa kulia utaona
ofisi imeandikwa RAEFO
TANZANIA.
Kwa maelezo
zaidi wasiliana nasi
kwa simu 0784406508.
KWA
WAOMBAJI
WALIOPO NJE
YA MKOA WA
DAR ES SALAAM:
Kwa waombaji waliopo
nje ya mkoa
wa Dar Es
salaam,, mafunzo yatatolewa kwa
njia ya posta.
JINSI YA
KUTUMA MAOMBI KWA
WAOMBAJI WALIOPO NJE
YA MKOA WA
DAR ES SALAAM.
Kwa waombaji waliopo
nje ya mkoa
wa Dar Es
salaam, watatumiwa fomu za
kujiunga na mafunzo
haya kwa njia
ya barua pepe.
Tuma barua pepe
ya maombi ya
fomu ya kujiunga
na mafunzo haya kupitia barua
pepe yetu ambayo
ni : rafikielimutanzania@gmail.com
.
Maombi yako yaelekezwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji,
RafikiElimu Foundation.
Kwa taarifa
zaidi kuhusu huduma
zetu, tafadhali tembelea :
Au tembelea : www.rafikielimu.blogspot.com
Comments
Post a Comment