Skip to main content

Posts

Showing posts from 2013

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI

NAFASI    ZA   MAFUNZO    NA   KAZI. RafikiElimu   Foundation   ni   Taasisi   Isiyokuwa   ya   kiserikali   ( NGO )   inayo   jihusisha   na   Maendeleo   Ya   Sekta   ya   Elimu   Tanzania. Taasisi    inatangaza   nafasi   za   MAFUNZO    YA     UTENGENEZAJI    WA   VYAKULA   MAALUMU   KWA   WAGONJWA   WA   PRESHA   NA   KISUKARI,WAZEE, WAJAWAZITO, WATOTO   WACHANGA   NA   WATU    WENYE   MATATIZO   YA   UNENE & UZITO.   Lengo   la   mafunzo   haya   ni   kuwaandaa    wahitimu  kufanya  kazi  ya   kutoa   mafunzo   watakayo   yapata   kwa    vijana  Elfu  Tano  waliopo  katika  kata  mbalimbali  za  jij...

TANGAZO LA UFADHILI KWA WASANII CHIPUKIZI WA FILAMU NA MUZIKI

TANGAZO    LA   UFADHILI      KWA    WASANII     CHIPUKIZI   WA   FILAMU   NA   MUZIKI . 1.      Wewe   ni   msanii   chipukizi   wa   filamu au   maigizo ? 2.      Wewe   ni   mwandishi   chipukizi   wa   filamu   ? 3.      Wewe   ni   mtayarishaji   chipukizi   wa   filamu ? 4.      Wewe   ni   muimbaji / mwanamuziki   chipukizi     Unataka   kukamilisha   ndoto   zako   lakini   haujui   pa   kuanzia ?   Kama   jibu   ni   ndio   basi   hii   ni   habari   njema   sana   kwako. Taasisi   ya   RafikiElimu   Foundation   inapenda   kuwatangazia   wananchi   wote   kuwa   sasa, ...

MAFUNZO YA KUTENGENEZA LOSHENI, MAFUTA YA KUJIPAKA NA PAFYUMU..

Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation, inapenda  kuwatangazia   vijana  wote  wa  kitanzania, nafasi  za   kushiriki  katika  mafunzo  ya  utengenezaji  wa  bidhaa  mbalimbali.  Bidhaa  zitakazo  fundishwa  ni  pamoja  na   UTENGENEZAJI  WA  MAFUTA  YA  KUJIPAKA , LOSHENI   na  MANUKATO. SIFA  ZA  WASHIRIKI :  Mtu  Yoyote  anaweza  kushiriki  katika  mafunzo  haya. ADA  YA  KUSHIRIKI   :  Ada  ya  kushiriki  katika  mafunzo  haya  ni  Shilingi  ELFU  ISHIRINI  NA  TANO  TU ( Tshs. 25,000/= ). Mafunzo  yatafanyika  kwa  muda  wa  siku  tatu  kuanzia  tarehe   01  AGOSTI  2013   hadi  tarehe  03  AGOSTI  2013....