Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2012

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( NGO STUDIES THROUGH DISTANCE LEARNING PROGRAMME )

Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation    inapenda  kuwatangazia  vijana  wa  kitanzania  nafasi  za  mafunzo  na  kazi  kama  ifuatavyo : KOZI  ITAKAYO  FUNDISHWA :  NGO  MANAGEMENT & OPERATION. SIFA  ZA  MWOMBAJI  NAFASI : 1. Kijana  wa  kitanzania  mwenye  umri  wa  kati  ya  miaka  18 hadi 45. 2. Elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  sita  na  kuendelea. 3. Aliye   na  malengo  ya  kufanya  kazi  katika  taasisi  zisizokuwa  za  kiserikali  zilizopo  nchini  Tanzania. 4. Anayeweza  kusoma  na  kuelewa  kwa  njia  ya  masafa  marefu.  LENGO  LA  KOZI  HII : i.             ...

NAFASI NNE ZA KUJITOLEA WILAYA YA ILALA

   NAFASI  NNE  ZA  KUJITOLEA  WILAYA  YA  ILALA. TUNAWEZA  WOMEN  GROUP   ni  Asasi  Isiyokuwa  ya  Kiserikali  ( NGO )  inayo  jihusisha  na maendeleo  ya  wanawake  Tanzania. Taasisi  inatangaza  nafasi  za  kujitolea  kama  ifuatavyo : 1. Mtaalamu wa ujasiria mali...NAFASI  MOJA. 2.Mtaalamu wa kukuza pesa za mfuko wa taasisi.....NAFASI  MOJA. 3. Mwalimu wa michezo................NAFASI  MOJA.  4. Mtaalamu wa  masuala  ya  sheria  na  haki  za  binadamau............NAFASI  MOJA. Tuma  maombi  yako  kwenda  kwa  : MWENYEKITI  , TUNAWEZA  WOMEN  GROUP. S.L.P  DAR  ES  SALAAM. tUMA  MAOMBI  YAKO  KUPITIA  : womentunaweza@yahoo.com WASILIANA  NAO  KWA  SIMU  : 0784399400,07154858...

NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO YA SEKONDARI KWA YATIMA

RafikiElimu  FOUNDATION  ni  Taasisi  isiyokuwa  ya  kiserikali  inayo  jishughulisha  na  Maendeleo  ya  jamii. Taasisi  inapenda  kutangaza  nafasi  za  ufadhili  wa  masomo  ya  sekondari  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo  : 1. Awe    yatima  wa  jinsia  ya  kike  au  awe  masichana  anayeishi  katika  mazingira  magumu. 2.Awe  raia  wa  Tanzania. 3. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  kwanza  kuanzia  Januari  2013. AU 4. Awe  anajiandaa  kujiunga  na  masomo  ya  kidato  cha  tano   katika  mwaka  wa  masomo 2013/14. 5. Awe   ni  mwanafunzi  ambaye  tayari  anasoma sekondari ...