Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini na Vijijini ( EUMIVI -Project ) imejipanga kutoa mafunzo ya UALIMU WA UJASIRIAMALI kwa vijana wapatao watano kutoka katika kila kata ya jiji la Dar Es salaam. Mafunzo haya yataanza rasmi siku ya tarehe 02 Machi 2014 saa tano kamili asubuhi katika ukumbi wa Chuo Cha RAFIKIELIMU COLLEGE uliopo katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU. Akizungumza na RafikiElimu BLOG, Mratibu Msaidizi wa ...