NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI. RafikiElimu Foundation ni Taasisi Isiyokuwa ya kiserikali ( NGO ) inayo jihusisha na Maendeleo Ya Sekta ya Elimu Tanzania. Taasisi inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA VYAKULA MAALUMU KWA WAGONJWA WA PRESHA NA KISUKARI,WAZEE, WAJAWAZITO, WATOTO WACHANGA NA WATU WENYE MATATIZO YA UNENE & UZITO. Lengo la mafunzo haya ni kuwaandaa wahitimu kufanya kazi ya kutoa mafunzo watakayo yapata kwa vijana Elfu Tano waliopo katika kata mbalimbali za jij...