Total Pageviews

Wednesday, October 31, 2012

MAMA PINDA AWAAMBIA VIJANA UJASIRIAMALI NI AJIRA RASMI INAYOTAMBULIKA DUNIANI

Pichani Juu na Chini ni Mama Tunu Pinda akikagua baadhi ya mabanda na kujionea bidhaa mbalimbali katika maonyesho hayo.

Mama Tunu Pinda akisoma kwa furaha kitini cha mafunzo ya Wajasiriamali baada ya kufungua Maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE) katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bi. Hopolang Phororo na Noreen Toroka kutoka ILO.
Mama  Pinda  akipokea  vitabu  toka  kwa  Noreen  Toroka ( Wa  Pili  kulia )  na  Hopolang  Phororo  wa  ILO.

Mke wa Waziri Mkuu Mana Tunu Pinda akitoa hotuba ya kufungua Maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE) katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam ambapo amewahimiza wajasiriamali kujiunga katika ushirika ili iwe rahisi kusaidiwa kupata mikopo, kutafuta masoko, kupanga bei nzuri ya bidhaa zetu, kupata utaalam na teknolojia mpya. Kauli Mbiu ya ya Maonyesho hayo mwaka huu ni “Msichana Amka, Ujasiriamali ni Ajira”.
Mke wa Waziri Mkuu Mana Tunu Pinda akitoa hotuba ya kufungua Maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali (MOWE) katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam ambapo amewahimiza wajasiriamali kujiunga katika ushirika ili iwe rahisi kusaidiwa kupata mikopo, kutafuta masoko, kupanga bei nzuri ya bidhaa zetu, kupata utaalam na teknolojia mpya. Kauli Mbiu ya ya Maonyesho hayo mwaka huu ni “Msichana Amka, Ujasiriamali ni Ajira”.

Picha  na  habari  zinatoka :  www.globalpublishers.info

Friday, October 26, 2012

Mradi Wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini Kuzinduliwa tarehe 01 NOVEMBA 2012.

Mradi  Wa  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini " EUMIVI -Project  " , unao  ratibiwa  na  Taasisi  Isiyokuwa  ya  kiserikali  ya  RafikiElimu  Foundation(  RAEFO  TANZANIA )   unatarajia  kuzinduliwa  rasmi  tarehe  01  NOVEMBA  2012,  kwenye  Ukumbi  wa  HEKO  HALL, uliopo  katika  eneo  la  SINZA - AFRIKA  SANA  jijini  Dar  Es  salaam.

Akiteta  na  RAFIKIELIMU  BLOG ,  Msemaji  wa  Taasisi  ya  RAEFO  TANZANIA , Ndugu  Consolatha  THADEUS  amesema  ya  kuwa  ingawa  mradi  utazinduliwa, siku  ya  tarehe  01  NOVEMBA  2012, saa  tisa  kamili  Alasiri  lakini  mafunzo  yatakuwa   yakifanyika  asubuhi  na  mchana na  yatakuwa  yakifanyika  kila  siku  kwa  muda  wa  miezi  miwili  ambapo  kwa  kuanza,  wanafunzi  watapatiwa  mafunzo  kwa  njia  ya  nadharia   katika  awamu  ya  kwanza  kisha  kumalizia  na  mafunzo  kwa  njia  ya  vitendo  katika  awamu  ya  pili ya  mafunzo.

"  Tumeamua kuyafanya  mafunzo  asubuhi  na  jioni  ili  kuwapa  nafasi  watokao  makazini  ambao  mara nyingi  wanakuwa  hawana  nafasi  wakati  wa  asubuhi  na  mchana  kutokana  na  kubanwa  na  majukumu  kazini"  Alisema   Dada  CONSOLATHA  THADEUS.

" Mafunzo  yatakuwa  yakifanyika  katika  utaratibu  na  ratiba  ifuatayo  :  Wanafunzi  watagawanywa  katika  makundi  makuu  mawili, kundi la  kwanza  litasoma  kati  ya  Saa  3 kamili  asubuhi  hadi  saa  sita  kamili  mchana  na  kundi  la  pili  litakuwa  likisoma  kati  ya  saa  9  kamili  alasiri  hadi  saa  12  kamili  jioni "  aliongeza. Ms  THADEUS.

Mradi  wa  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini,  ni  Mradi  ambao  umelenga    kupambana  na  tatizo  la  ukosefu  wa  ajira  nchini  kwa  kutoa  elimu  ya  ujasiriamali  kwa  watu  wa  kada  mbalimbali  katika  jamii  kama  vile, vijana, wakina  mama  wajane, wakina  mama  na  vijana  walio  katika  vikundi  vya  uzalishaji,  wastaadu na  wanaop  jiandaa  kustaafu, wanafunzi  wa  mashuleni  na  vyuoni,   wanachama wa  VICOBA  na  SACCOSS  mbalimbali  nakadhalika.

Mafunzo  katika  mradi  huu  yatatolewa  bure  na  yataanza  rasmi  tarehe  01  NOVEMBA  2012.

ORODHA YA MAJINA YA WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA ELIMU YA UJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM. Uongozi  wa  Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION, unapenda  kuwafahamisha  wafuatao  kuwa wamechaguliwa  kujiunga  na  mafunzo  ya  ujasiriamali   yanayo  tolewa  bure  na  taasisi  chini  ya  Mradi  wake  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini.  "  EUMIVI - Project  ".  Uzinduzi  wa  mafunzo  haya na  mradi  kwa  ujumla    utafanyika  katika  ukumbi  wa  HEKO  HALL, uliopo  katika  eneo  la  SINZA - AFRIKA  SANA, karibu  na  kituo  cha  Daladala  cha  AFRIKA  SANA,  siku  ya  ALHAMISI  ya  tarehe  01  NOVEMBA  2012   saa  Tisa (  9  )   kamili  Alasiri hadi  Saa  kumi  na  mbili ( 12 )  jioni.

                                         ORODHA  YA  MAJINA.1.        Emmy  J. Sanga
2.      Grace   Hollo  Nkuba.
3.      Modesta  James  Muson’go.
4.      Fatina  Said  Marjeby.
5.      Caroline  Massawe.
6.      Ramla  Motto
7.      Fadhili  H.  Motto.
8.      Dominic  Samba.
9.      Lilian  P. Masele.
10.  Catherine  H.  Sing’ombe.
11.  Veronica   Chacha.
12.  Hamisi  Juma  Nneka.
13.  Hawa  Nneka.
14.  Farida   Shabani.
15.  Diswa  Zongo.
16.  Natasha  A.   Mwakililo.
17.  Eman  Mtwango.
18.   Suzana  A. Meena.
19.  Alex  Aron.
20.  Christina  Gervace  Mnanda.
21.  Elias  Kwiligwa.
22.  Janeth  Wilson  Kachori.
23.  Clementina  Charles.
24.  Devotha  Ladislaus.
25.  Lilian  Godwin   Lamson.
26.  Sara  S. Masamba.
27.  Tunu  Mussa.
28.  Loveland  E. Makundi.
29.  Winifrida  Kilagila.
30.  Primus  Mwita  Kisunte.
31.  Miraji  Abdallah.
32.  Salim  Maliatabu  Ngailo.
33.  Robert  Ulimboka.
34.  Juliana  Pontion  Mapigano.
35.  Grace  Mzigo.
36.  Fatuma  Mera.
37.  Nakijwa  Praygod  Jonas.
38.  Deborah Mwakaje.
39.   Njalu  John.
40.  Miraji  Abdallah.
41.  Emmanuel  Ringo.
42.  Kajima  Kajima.
43.  Ellias Willibard.
44.  Emmanuel  F. Matanwa.
45.  Elirehema  Emily  Kalimbo.
46.  Lucky  Seston.
47.  Nyambaya  Nyambaya.
48.  Mary  Isaka.
49.  Flora  Norbert  Msuya.
50.  Restuta  Agustino.
51.  Latifa   Salehe.
52.  Rajabu  R.  Kondo.
53.  Maria  Ramadhani  Mtandi.
54.  Hadija  Kassim.
55.  Jemima  Richard.
56.  Faraja  Alfred  Ole  Sulul.
57.  Ombori  Onyango  Ezekiel.
58.  Happiness  Jumbe.
59.  MR.  Kabamba.
60.  Lucas  Antony  Hakili.
61.  Vitalis  Paul
62.  Faraja  Mmasa
63.  Neema  Hezwa.
64.  Omari  Y. Kassim.
65.  Salim  Said.
66.  Mariam  Nyalusi.
67.  Adelina  William.
68.  Egnela  Roman  Kibua.
69.  Omari  Kassim.
70.  Msifuni  Mkemwa.
71.  Kisanga  Erick.
72.  Wilbald  Antony.
73.  Sabrina  Sawaki.
74.  Pili  Zegega.
75.  Goodluck  Tarimo.
76.  Fortunata  Chipa.
77.  Maria  Daniel.
78.  Amon  Richard  Zephania.
79.  Boniface  Joseph.
80.  Lucy  Katikiro.
81.  Charles  Claudio.
82.  Tito Mpogole.
83.  Florah  W.  Kapange.
84.  Rosemary  F. Mosha.
85.  Mary  R. Mwakifyamba.
86.  Mkenobi  Tungalaza.
87.  Shabani  Dos  Santos.
88.  Khadija Ally  Masoud.
89.  Nelly  Kulwa.
90.  Jackline  Amos   Mbaga.
91.  Mwajuma  Bakari.
92.  Lucy  P. Tarimo.
93.  Eliminia  Credo  Kapufi.
94.  John  Mosha.
95.  Veronica  Joshua.
96.  Imelina  Shirima.
97.  Nasra  H. Mbaraka.
98.  Chrispin  Katabazi.
99.  Nabi  Lowassa.
100.                      Dogani  D. Sheka.
101.                      Magdalena  Gabriel.
102.                      Winifrida  Kilagila.
103.                      Juma Juma
104.                      Salha  Abdallah.
105.                      Rukia  Nyungu.
106.                      Faraja  Jailosy  Lunyungu.
107.                      Francis  Kulwa
108.                      Fadhili  Maftah.
109.                      Elirehema  Emily.
110.                      Doreen  Karioki.
111.                      Sarah  Nkomola.
112.                      Josephine  Nchimbi.
113.                      Neema  Sandu.
1114. Maria    Daniel
1115. Omary  T.  Bihizi.
1116.  Helina  Juma  Msese.
1117. Upendo  Israel   Shuma.
1118. Ester  Patrick  Mrina.
1119. Ollice  Zeb.
1120. Margareth  Samweli Nkinda.
1121. Dianess  Godwin  Kirenga.
1122.  Nasra  Hemed.
1123. Deborah  Mwakaje.
1124. Iddi  Abdallah.
1125.  Salum  Zubeir  Jallas.
1126.  Jumaa  Upatu.
1127.  Kupa  Pazi  Said.
1128.  Corona  Jaffar.
1129. Fauzia  Amri.
1130. Julieth  Chunga.
1131.  Mariam  Jafar.
1132. Regina  Mchuma.
1133.  Paschal  Manko.
1134.  Lulawa  Iddi.
1135. Abdul  Azizi
1136.   Doreen  Karioki.
1137.  Magdalena  Gabriel.

 

1                     

FIKA  katika  eneo  la  ukumbi  wa  HEKO  HALL  uliopo  katika   eneo la  SINZA, AFRIKA  SANA  siku  ya  ALHAMISI  ya  tarehe  01 NOVEMBA  2012,  saa  Tisa ( 9 )  kamili  Alasiri  kwa  ajili ya  uzinduzi  wa  Mafunzo.
Fika  na   pass port  size  zako mbili  za  rangi  kwa  ajili  ya  kitambulisho.

N.B :  Wafuatao  hawakuambatanisha  namba  zao  za  simu  katika  maombi  yao, tafadhali  upatapo   tangazo  hili  tujulishe  namba  yako  ya  simu  kabla  ya  tarehe  30 OKTOBA  2012, saa  saba  kamili  mchana.

1.      Eman  Mfwango
2.      Emmanuel  Ringo.
3.      Emmanuel  F.  Matanwa.
4.      Elirehema  Kalimbo.
5.      Egnela  Roman Kibua.
6.      Charles  Claudio.
7.      Magdalena  Gabriel
8.      Dogani  D. Sheka.
9.      Nasra  H. Mbaraka.
10.  Nabi  Lowassa.
                   

Wednesday, October 10, 2012

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOLEWA BURE

Taasisi  Isiyokuwa  ya  Kiserikali  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia  Mradi  wake   ELIMU  YA  UJASIRIAMALI  MIJINI &  VIJIJINI  “ EUMIVI-Project “  inapenda  kuwatangazia  vijana  wote  wa  kitanzania  wenye  umri  wa  kati  ya  miaka  kumi  na  tano ( 15 )  hadi     Arobaini  na  Tano  (   45  )   nafasi  za  kushiriki  katika  mafunzo  ya  ujasiriamali.
Mafunzo  yatakayo  tolewa  ni  pamoja  na :
i.                    Utengenezaji  na  Uzalishaji  wa  Bidhaa  za  aina  mbalimbali  kama  vile  :
a.    sabuni  za  aina  zote
b.     batiki
c.      chaki  za  aina  zote.
d.    Mishumaa.
e.    usindikaji   wa  vyakula, vinywaji& matunda
f.       Uokaji  wa  mikate,
g.    utengenezaji  wa  bidhaa  za  ngozi  kama  vile  mikanda  na  viatu  kwa  kutumia  ngozi  za  wanyama  zilizo  sindikwa.
h.    Utengenezaji  wa  viungo  vya  vyakula  vya  binadamu  kama  vile  Chilli  Sauce, Tomato Sauce, Mango Picco , Peanut Butter nakadhalika.
i.       Utengenezaji  wa   mkaa  kwa  kutumia  makaratasi.
j.       Utengenezaji  wa  kiwi.
k.    Utengenezaji  Wa  Vyakula   Vya  Mifugo  kama  vile  kuku na  n’gombe.
l.       Mbinu  Za  Ufuaji  Bora.
m. Mbinu  za  kilimo  Bora.
ii.                Elimu  Ya  Ujasiriamali.
iii.              Elimu  Ya   Sheria  Za  Biashara.
iv.              Elimu  Ya  Usimamizi  na  Uongozi  Wa  Biashara.
v.                Ubunifu, Uendeshaji  na  Usimamizi  Wa  Miradi
vi.              Uandishi  Wa  Miradi Mbalimbali.
vii.           Elimu  Ya  Uwekaji  na Ukopaji  Fedha  .
viii.         Elimu  Ya  Uendeshaji  wa  Vikundi  Vidogo  Vidogo  Vya  Kuweka  na  kukopa   Fedha.
ix.              Elimu  Ya  Utengenezaji  na  Utafuta  wa  Masoko.

ADA  YA  USAJILI :  Ada  ya  kujisajili  katika  mradi  huu  ni  BURE.
ADA  YA  MAFUNZO :  Ada  ya  kushiriki  katika  mafunzo  haya  ni  BURE.
MWISHO   WA  KUJIANDIKISHA  : Tarehe  25  OKTOBA  2012.
KUANZA   KWA  MAFUNZO    :   Tarehe    01  NOVEMBA  2012.
KUZINDULIWA  KWA  MRADI  :  Tarehe  23  OKTOBA  2012.

NAMNA  YA  KUJIANDIKISHA :  Fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.
Panda  gari  za  UBUNGO  -  CHANGANYIKENI,  kisha   shuka  kituo  kinaitwa  TAKWIMU. Ukifika  TAKWIMU    fuata  barabara  ya  lami  hatua  ishirini ( 20 )  kisha  tazama  upande  wako  wa  kulia  utaona  bango  la  ofisi  yetu  limeandikwa  RAFIKIELIMU  FOUNDATION.

Kwa    maelezo  zaidi  wasiliana  nasi  kwa  simu
               0763976548    AU    0782405936.

Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  Mradi  Huu, tembelea  blogu  yetu :  www.rafikielimu.blogspot.com

WAHI  NAFASI  YAKO  MAPEMA  KWANI  NAFASI  ZILIZOPO  NI  CHACHE.