Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2024

NAFASI ZA KAZI ( FOOD PRODUCTION)

NAFASI     ZA KAZI    ( FOOD PRODUCTION )   RafikiElimu   Education Consultancy ni Taasisi inayo jihusisha na usimamizi wa maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi wanao soma katika shule za msingi na sekondari nchini Tanzania, pamoja   na mafunzo ya ujasiriamali. Taasisi   Kwa kushirikiana   na shule mbalimbali za msingi na sekondari katika mikoa ya Dar Es Salaam na Mtwara     inaratibu   mradi wa “ MAFUNZO YA UTENGENEZAJI   WA PIPI ZA VIJITI” almaarufu kama “ PIPI ZA KIHINDI”, kwa vijana waliomaliza kidato cha nne.    Lengo   la mafunzo haya ni kuwajengea    vijana hao , uwezo wa kujiajiri wenyewe   kwa kutengeneza   na kuuza pipi hizo kwenye shule za msingi na sekondari ambazo zinashirikiana na taasisi   katika mradi huu.    Kupitia mradi huu, taasisi inatangaza   nafasi za kazi   ya   kufundisha namna ya kuandaa na kutayarisha pipi za vijiti ( Pipi za kihi...