Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2021

Ijue RAFIKIELIMU EDUCATION CONSULTANCY

RafikiElimu EDUCATION Consultancy ni Taasisi binafsi inayo jihusisha na USIMAMIZI wa MAENDELEO ya KITAALUMA kwa wanafunzi wanao soma katika shule za sekondari Tanzania. Taasisi kwa makubaliano binafsi kati ya taasisi na mzazi/mlezi, inafanya kazi ya kufuatilia na kusimamia maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi wanao soma katika shule za kutwa ( Day Scholars ) pamoja na wale wanao soma katika shule za bweni ( Boarding Scholars ) Taasisi ina toa huduma hii kwa wanafunzi wa sekondari waliopo ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam, pamoja na wale waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam. Vile vile, RafikiElimu EDUCATION Consultancy ina wasimamia pia wanafunzi wanao jiandaa na mitihani ya kidato cha nne, au sita kama watahiniwa binafsi ( Private Candindates ) , wanafunzi wanao jiandaa kurudia mitihani yao ya kidato cha nne au sita ( Reseaters), pamoja na wanafunzi wanao soma masomo ya...