NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja na : 1. Somo la Ujasiriamali 2. Uanzishaji na undeshaji wa taasisi zisizo kuwa za kiserikali. 3. Jinsi ya kutengeneza aina sita za soda 4. Jinsi ya kutengeneza bia aina mbali mbali 5. Jinsi ya kutengeneza vodka na pombe nyingine kali kwa vipimo 6. Jinsi ya kutengeneza fruit wine ( wine ya matunda mbali mbali) 7. Jinsi ya kutengeneza pipi, jojo ...