Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA KUKU. Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza ni INCUBATOR ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE UWEZO WA KUTUNZA JOTO KWA SAA 48 PAMOJA NA KUTOTORESHA MAYAI KUANZIA 240 HADI 5000. ADA YA MAFUNZO : Ada ya mafunzo haya ni SHILINGI LAKI MBILI NA ELFU HAMSINI TU (Tshs. 250,000/=) na inalipwa kwa awamu mbili. ...