Taasisi ya RafikiElimu Foundation inapenda kuwatangazia vijana wa kitanzania nafasi za mafunzo na kazi kama ifuatavyo : KOZI ITAKAYO FUNDISHWA : USIMAMIZI & UENDESHAJI WA TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI ( NGO MANAGEMENT & OPERATION ) SIFA ZA MWOMBAJI NAFASI : 1. Kijana wa kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 45. 2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita na kuendelea. 3. Aliye na malengo ya kufanya kazi katika taasisi zisizokuwa za kiserikali zilizopo nchini Tanzania. 4 . Awe anaishi katika wilaya yoyote ili...