NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU WA UJASIRIAMALI. NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( MARCH 2013 INTAKE ) ( INTAKE HII NI MAALUMU KWA WAOMBAJI WANAOTAKA KUWA WAALIMU WA UJASIRIAMALI KATIKA MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI & VIJIJINI KWENYE WILAYA WANAZO ISHI ) Taasisi ya RafikiElimu Foundation inapenda kuwatangazia vijana wa kitanzania nafasi za mafunzo na kazi kama ifuatavyo : KOZI ITAKA YO FUNDISHWA : UALIMU WA UJASIRIAMALI. SIFA ZA MWOMBAJI...