NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( NGO STUDIES THROUGH DISTANCE LEARNING PROGRAMME ) Taasisi ya RafikiElimu Foundation inapenda kuwatangazia vijana wa kitanzania nafasi za mafunzo na kazi kama ifuatavyo : KOZI ITAKAYO FUNDISHWA : NGO MANAGEMENT & OPERATION. SIFA ZA MWOMBAJI NAFASI : 1. Kijana wa kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 45. 2. Elimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea. 3. Aliye na malengo ya kufanya kazi katika taasisi zisizokuwa za kiserikali zilizopo nchini Tanzania. 4. Anayeweza kusoma na kuelewa kwa njia ya masafa marefu....