Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2015

NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

  NAFASI     ZA         MAFUNZO     YA       UJASIRIAMALI. Taasisi   ya   RafikiElimu   FOUNDATION   kupitia   Mradi   wa   Elimu   Ya   Ujasiriamali   Mijini   &   Vijijini, inatangaza   nafasi   za   MAFUNZO   YA   UJASIRIAMALI.   Mafunzo   yatakayo   tolewa   ni   pamoja   na   : 1.  Somo  la  Ujasiriamali 2.    Uanzishaji   na   undeshaji   wa   taasisi   zisizo   kuwa   za   kiserikali. 3.    Jinsi ya kutengeneza aina sita za soda 4.    Jinsi ya kutengeneza bia   aina mbali mbali 5.    Jinsi ya kutengeneza vodka na pombe nyingine kali kwa vipimo 6.    Jinsi ya kutengeneza fruit wine ( wine ya matunda mbali mbali) 7.    Jinsi ya kutengeneza pipi, jojo (chewing gum), toffee n.k 8.    Jinsi ya kutengeneza yogurt, ice cream na cheese 9.    Jinsi ya kutengneneza tambi aina ya pasta. 10.                      Jinsi ya kutengeneza sabuni za kuogea 11.                      Jinsi ya kutengeneza scrub 12.                      Jinsi ya kutengenez