Total Pageviews

Thursday, January 15, 2015

NAFASI ZA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA KUKU.
NAFASI  ZA  MAFUNZO   YA  UTENGENEZAJI  WA  MASHINE  ZA   KUTOTOLEA  VIFARANGA  WA  KUKU.Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION,  kupitia  MRADI  WA  ELIMU  YA  UJASIRIAMALI  MIJINI  NA  VIJIJINJI , inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UTENGENEZAJI  WA  MASHINE  ZA  KUTOTOLEA  VIFARANGA  WA  KUKU.  ( Incubators )


Mashine   zitakazo fundishwa  kutengeneza  ni  INCUBATOR   ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE  UWEZO  WA  KUTUNZA  JOTO  KWA  SAA  48 PAMOJA  NA  KUTOTORESHA  MAYAI   KUANZIA  240  HADI  5000.


ADA   YA   MAFUNZO   :

Ada  ya  mafunzo  haya  ni  SHILINGI  ELFU  HAMSINI  TU. (Tshs.50,000/=)


TAREHE  YA  KUANZA  KWA  MAFUNZO


Mafunzo  haya  yatafanyika  kwa  muda   wa  siku  tano  kuanzia   tarehe  02  FEBRUARY  2015  hadi  tarehe  06  FEBRUARY   2015.

MAHALI  YATAKAPO  FANYIKA  MAFUNZO  :

Mafunzo  haya  yatafanyika  katika  madarasa  yetu  yaliyopo  katika  eneo  la  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

FOMU   ZA   KUJIUNGA   NA   MAFUNZO :

Fomu  za  kujiunga  na  mafunzo  haya  zinapatikana  ofisini  kwetu  kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  KUMI  NA  TANO  TU  ( Tshs.15,000/=).

MWISHO   WA  KUCHUKUA  FOMU  :

Mwisho  wa  kuchukua  fomu  ni  tarehe   31  JANUARY  2015   saa  nane  kamili  mchana.

MAHALI  ZILIPO  OFISI  ZETU :
Ofisi  zetu  zinapatikana  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU mbele  ya  CHUO  KIKUU  CHA  DAR  ES  SALAAM  (MLIMANI )

JINSI   YA   KUFIKA   OFISINI   KWETU:

Kufika  ofisini  kwetu, panda  daladala za  UBUNGO- CHANGANYIKENI  kisha  shuka  kituo  cha  TAKWIMU  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  kisha  tazama  upande  wako  wa  kulia utaona  ofisi  imeandikwa   RAEFO  TANZANIA.

Kwa  maelezo  zaidi wasiliana  nasi  kwa  simu  0688 049 687

Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  mradi  huu, endelea  kutembelea
www.rafikielimu.blogspot.com
 [