Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2014

MAMIA YA VIJANA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA BURE YA UALIMU WA UJASIRIAMALI.

Taasisi   ya   RafikiElimu   Foundation   kupitia   Mradi   wa   Elimu   Ya   Ujasiriamali   Mijini   na    Vijijini   ( EUMIVI   -Project )   imejipanga   kutoa   mafunzo   ya   UALIMU   WA   UJASIRIAMALI   kwa   vijana   wapatao   watano   kutoka   katika   kila   kata   ya   jiji   la   Dar   Es   salaam. Mafunzo   haya   yataanza   rasmi   siku   ya   tarehe   02   Machi   2014   saa   tano   kamili   asubuhi   katika   ukumbi   wa   Chuo   Cha   RAFIKIELIMU   COLLEGE   uliopo   katika   eneo   la   CHANGANYIKENI   karibu   na   CHUO   CHA   TAKWIMU. Akizungumza   na   RafikiElimu   BLOG, Mratibu   Msaidizi   wa   Mradi   wa   Elimu   Ya   Ujasiriamali   Mijini   &   Vijijini   kanda   ya   Dar   Es   salaam, Ndugu    ARISTARICK   MALLYA     amesema   kuwa, lengo   la   mafunzo   hayo   ni   kuwajengea   vijana   hao   uwezo   wa   kutoa   mafunzo   ya   ujasiriamali   kwa   vijana   wenzao   waliopo   katika   kata   wanazo   ishi.   Awamu    ya   kwanz

MAFUNZO YA BURE YA UIGIZAJI FILAMU NA UIMBAJI

RAFIKI ELIMU   MUSIC   &  FILM  ACADEMY ·         Je  wewe  ni  kijana  wa  kitanzania? ·        Una  umri  wa  kuanzia  miaka 15  na  kuendelea ? ·        Una  ndoto za  kuwa  muigizaji filamu  mkubwa  nchini  Tanzania? ·        Una  ndoto  za  kuwa  mwanamuziki ama  muimbaji  mkubwa hapa  Tanzania ? RAFIKIELIMU  MUSIC &FILM  ACADEMY   ni  kituo  kinachotoa  mafunzo  ya  UIGIZAJI  na  UIMBAJI  kwa  vijana wa kitanzania  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  kumi  na  tano na  kuendelea. Wahitimu  wa  mafunzo  haya  hupata  nafasi  ya  kushiriki  katika  filamu , maigizo, tamthiliya  na nyimbo mbalimbali   zinazo  tayarishwa  na Taasisi  ya   RAFIKIELIMU  FOUNDATION. ADA  YA  MAFUNZO :  Mafunzo  haya  hutolewa BURE! Mafunzo  yataanza rasmi  tarehe  02 MACHI  2014. Mwisho  wa  kujiandikisha   ni  tarehe  28 FEBRUARI 2014. Chuo  chetu  kinapatikana  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU mbele  ya  CHUO  KIKUU  CHA  DAR  ES  SALAAM. Ku