Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2013

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ...( FEBRUARY INTAKE )

NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI ( NGO STUDIES THROUGH DISTANCE LEARNING PROGRAMME ) Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation    inapenda  kuwatangazia  vijana  wa  kitanzania  nafasi  za  mafunzo  na  kazi  kama  ifuatavyo : KOZI  ITAKAYO  FUNDISHWA :  NGO  MANAGEMENT & OPERATION. SIFA  ZA  MWOMBAJI  NAFASI : 1. Kijana  wa  kitanzania  mwenye  umri  wa  kati  ya  miaka  18 hadi 45. 2. Elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  sita  na  kuendelea. 3. Aliye   na  malengo  ya  kufanya  kazi  katika  taasisi  zisizokuwa  za  kiserikali  zilizopo  nchini  Tanzania. 4. Anayeweza  kusoma  na  kuelewa  kwa  njia  ya  masafa  marefu.  LENGO  LA  KOZI  HII : i.                    kumuandaa   mhitimu   kufanya   kazi   katika   taasisi   zisizo   kuwa za   kiserikali    katika   maeneo   ya     ubunifu, uandishi   na   usimamizi   wa   miradi   yenye   kuvutia   na   kushawishi   wafadhili