Total Pageviews

Thursday, November 8, 2012

VITINI VYA MASOMO YA UJASIRIAMALI SASA VINAPATIKANA.

Tunapenda  kuwatangazia  wanafunzi  wote wanaohudhuria   mafunzo ya  Ujasiriamali  yanayo  tolewa  na  Taasisi  yetu  chini  ya  Mradi Wa  Elimu Ya  Ujaisriamali   Mijini & Vijijini,  "  EUMIVI -Project "  kwamba  vitini    vya  mafunzo  ya  utengenezaji &  uzaliashaji  wa  bidhaa  mbalimbali,  vinapatikana kuanzia  kesho  tarehe  09 NOVEMBA  2012   kuanzia  saa nne  kamili  asubuhi  kama  tulivyo  ahidi.

Vitini  vinapatikana  katika   Stationery inayo  itwa  " MAMA  NASRA  STATIONERY  SERVICES  "  iliyopo katika  eneo  la  SAVEI  karibu  na  MLIMANI CITY.  Kitini  kina  masomo  yote  na  utakipata kwa  SHILINGI  ELFU  TATU TU  (  Tsh. 3,000/= )..

Kwa  maelezo  zaidi  kuhusu   namna  ya  kukipata  kitini,  tafadhali  wasiliana  na  uongozi  wa  MAMA  NASRA  STATIONERY SERVICES  kwa  simu   0712108139    au     0714919707.

ATAKAYE  PATA TAARIFA  HII, AMTAARIFU  NA  MWENZAKE, ASANTENI  SANA.


N.B:  Kwa  wale  ambao   hawatakuwa  na  muda  wa  kuchukuchukua  hivyo  vitini  tafadhali  mnaombwa  mtume  barua  pepe  zenu  kwa    kwenda  :  rafikielimutanzania@gmail.com  ili  tuwatumie   soft  copy  ya  vitini  hivyo.

Namba  yetu  ya  VODA  haipatikani  tangu  juzi  kutokana  na  upotevu  wa  simu  iliyokuwa  na  line  yetu  ya  voda. Tafadhali  unaweza  kuwasiliana  nasi  kupitia  namba  yetu  ya  AIRTELL, ASANTENI  SANA.

1 comment: